Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu
kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bi. Teddy
Njau akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi wa Wizara ya
Habari, Mawasiiano na Teknolojia ya Habari kuhusu mradi wa Tanzania ya
kidijitali, Mafunzo hayo yanafanyika katika Hoteli ya Masai land Jijini
Arusha leo Mei 26, 2022
Mratibu wa Mradi
wa Tanzania ya Kidijitali Honest Njau akiwasilisha mada kwa watumishi
wa Wizara ya Habari, Mawasiiano na Teknolojia ya Habari kuhusu mradi wa
Tanzania ya kidijitali, Mafunzo hayo yanafanyika katika Hoteli ya Masai
land Jijini Arusha leo Mei 26, 2022
Watumishi wa Wizara ya Habari, Mawasiiano na Teknolojia ya Habari
wakifuatilia wasilisho kuhusu mradi wa Tanzania ya kidijitali, Mafunzo
hayo yanafanyika katika Hoteli ya Masai land Jijini Arusha leo Mei 26,
2022
No comments:
Post a Comment