Advertisements

Wednesday, May 31, 2023

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Sikonge Joseph Kakunda kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 31, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Kapteni Mstaafu George Mkuchika, bungeni jijini Dodoma, Mei 31, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Tunduru Kasikazini, Hassan Zidadu Kungu,  bungeni jijini Dodoma, Mei 31, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: