Dj Dennis Shengena (kushoto mwenye suti ya blue) akiwarusha wadau waliofika DMV kutoka kila pembe ya USA na Duniani kote, kulia ni NY Ebra akifurahia jambo na Dj Dennis, nyuma ni Dj Musmus ambaye alikuwa mshereheshaji wa usiku huo uliofanyika West Bowie Village Hall, Bowie Maryland nchini Marekani, Jumamosi June 17, 2023. Picha na Vijimambo Blog
Dj Musmus kutoka Michigan akipata ukodak moment.
1 comment:
🔥 fire 🔥 DMV tunaupendo,Lucas rudi ,Asante kwa family union
Post a Comment