Msaidizi Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo Tanzania Rodney Thadues akizungumza na maafisa habari na maafisa uhusiano wa Wizara za Serikali ya Zanzibar na mashirika wakati alipokua akitoa taarifa mbalimbali kuhusianan na utendaji kazi wa Idara hiyo na ushirikiano kati yao na Maafisa Habari wa Serikali ya Tanzania. Maafisa hao kutoka Zanzibar wapo katika Ziara ya kimasomo kuanzia tarehe 19 hadi 23 mwezi huu Jijini Dodoma.
Baadhi ya maafisa habari na maafisa uhusiano wa Wizara za Serikali ya Zanzibar na mashirika wakisikiliza taarifa kuhusiana na utendaji kazi wa Idara ya habari maelezo Tanzania na ushirikiano kati yao na Maafisa Habari wa Serikali ya Tanzania wakati wa ziara yao ya kimasomo iliyoanzia tarehe 19 hadi 23 mwezi huu Jijini Dodoma.

Msaidizi Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo Tanzania Rodney Thadues akizungumza na maafisa habari na maafisa uhusiano wa Wizara za Serikali ya Zanzibar na mashirika wakati alipokua akitoa taarifa mbalimbali kuhusianan na utendaji kazi wa Idara hiyo na ushirikiano kati yao na Maafisa Habari wa Serikali ya Tanzania. Maafisa hao kutoka Zanzibar wapo katika Ziara ya kimasomo kuanzia.IMETOLEWA NA IDARA YA HABARI MAELEZO ZANZIBAR
No comments:
Post a Comment