Advertisements

Monday, June 26, 2023

PICHA KUTOKA KWA WADAU OLD SCHOOL REUNION

Picha kuoka kwa wadau mbalimbali waliokuja kwenye old school reunion DMV wakiwa wametuma picha zao Vijimambo Blog hapa ilikua ni mtanange wa Yanga na Simba/
Usiku wa Old school Reunion ukirembeshwa na wadau waliofika DMV na kuandika historia 2023 West Bowie Village Hall palikua hapatoshi
Walimbwende wakiwa wamependeza kweli kweli
Kutoka kushoto ni Peter Ligate kutoka California, Clara Karabani kutoka Georgia na Cane Mwihava kutoka Washington DC wakipata ukodak moment usiku wa old school reunion West Bowie Village Hall.
Kati ni Dj Dennis kutoka Minnesota akiwa katika picha ya pamoja naa walimbwende waliofika kwenye usiku wa old school reunion DMV.
Wadau wakifuatilia mtanange wa Yanga na Simba katika uwanja wa Greencastle, Fairland, Maryland.
Mpirasio uadui mashabiki wa Yanga na Simba wakipiga picha ya pamoja kama kumbukumbu kwenye mtanange wa Yanga na Simba katika uwanja wa Greencastle, Fairland, Maryland.
Abuu wa Swahili Villa akiwa katika picha ya pamoja na mtangazaji mahili na wa siku nyingi VOA Sunday Shomari.
Kutoka kushoto ni Mubelwa Bandio wa Kwanza Production, Cassius Mpambamaji wa Mlongokihoma Media na Sunday Shomari kutoka VOA
Mashabiki wakiwa tayari kwa mtanange wa Yanga na Simba
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

1 comment:

Anonymous said...

Walipendeza