ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 16, 2023

RAIS DKT. MWINYI AELEKEA NCHINI UJERUMANI KUMUWAKILISHA RAIS SAMIA KATIKA UZINDUZI WA MASHINDANO YA DUNIA YA OLIMPIKI MAALUM BERLIN


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla,(kulia kwa Rais) na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk,akielekea Nchini Ujerumani kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan.katika uzinduzi wa mashindano ya dunia ya olimpiki maalum yanayofanyika Berlin Ujerumani.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar,alipowasili katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea Nchini Ujerumani kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan.katika uzinduzi wa mashindano ya Dunia ya Olimpiki Maalum yanayofanyika Berlin Ujerumani.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk, alipowasili katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea Nchini Ujerumani kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan.katika Uzinduzi wa Mashindano ya Dunia ya Olimpiki Maalum yanayofanyika Berlin Ujerumani.(Picha na Ikulu)

No comments: