RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.DK.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Utekelezaji wa Majukumu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa kipindi cha Miaka Mitano, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar Hamid Mahmoud Hamid, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 15-6-2023.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar Hamid Mahmoud Hamid akiwasilisha Ripoti ya Utekelezaji wa Majukumu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa kipindi cha Miaka Mitano, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar Hamid Mahmoud Hamid (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kukabidhi Ripoti ya Utekelezaji wa majukumu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa kipindi cha miaka mitano,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar 15-6-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja wa Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Utekelezaji wa Majukumu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa kipindi cha Miaka Mitano, na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar Hamid Mahmoud Hamid, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 15-6-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe. Jaji Mkuu wa Zanzibar Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid, baada ya kumaliza mazungumzo yao na kukabidhiwa Ripoti ya Utekelezaji wa Majukumu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa kipindi cha Miaka Mitano, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 15-6-2023
No comments:
Post a Comment