Advertisements

Wednesday, July 12, 2023

BIRTHDAY YA LYSA ILIVYODAMSHI, BIBA APATA MSHANGAO WA SURPRISE

Lysa akiwa na baba mwenye nyumba wake Biba wakiwa katika picha ya pamoja siku ya kusherehekea kumbukizi ya siku zao za kuzaliwa ambazo hutofautiana kwa wiki mbili. Ilikua ni sherehe ya birthday ya Lysa lakini bila kutaraji Biba akapatwa na mshangao baada ya kuona keki yake nayo ikitolewa ambayo ilikua imefichwa muda wote, hakuamini lakini ndio imeshakua ilibidi akubali yaiishe. Picha na Vijimambo Blog.
Birthday Girl akiwa kwenye picha katika kusherehekea kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake iliyofanyika Lanham, Maryland nchini Marekani siku ya Jumamosi July 8, 2023.
Biba na Lysa wakifurahia jambo.
Lysa akimlisha keki Biba.
Biba akishangaa baada ya kukutana na keki yake ya Birthday pasipo kutarajia.
Biba na Lysa wakifungua muziki
Wadau wakijumuika pamoja kwenye muziki kusherehekea kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya Lysa na Biba. Kwa picha zaidi bofya soma zaidi





 

1 comment:

Anonymous said...

Hongera sana kwa maharusi, Mungu aendelee kuwalinda🙏