Thursday, February 8, 2024

DKT. NCHIMBI AKUTANA NA WAJUMBE WA KAMATI YA SIASA (CCM) WILAYA YA ROMBO


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwa kwenye picha mbalimbali pamoja na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, baadhi ya Madiwani wa CCM katika Halmashauri ya Wilaya ya Rombo, baadhi ya Wajumbe wa Kamati za Siasa Kata Nne za Wilaya ya Rombo na Wajumbe wa Bodi ya Ligi ya Mkenda Cup, wilayani humo, baada ya viongozi hao kumtembelea Dkt. Nchimbi ofisini, Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma, leo Jumatano, Februari 7, 2024.

No comments: