Sunday, February 18, 2024

DKT. NCHIMBI AMTAKIA HERI YA KUZALIWA MAMA KARUME AKIFIKISHA MIAKA 93


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi akiteta jambo na kumsikiliza kwa makini Mjane wa Rais wa Kwanaa wa Zanzibar, Hayati Abeid Aman Karume, Mama Fatma Gullam Hussein Jamal (Mama Fatma Karume), ambaye pia ni mama mzazi wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Amani Abeid Karume (kulia), walipokutana kwenye mazishi ya marehemu Edward Ngoyai Lowassa, Waziri Mkuu mstaafu, kijijini Ngurus, Mondoli, Februari 17, 2024.

Dkt. Nchimbi amemtakia heri ya kuzualiwa mama Fatma Karume ambaye ametimiza miaka 93 ya kzualiwa .




No comments: