Thursday, February 22, 2024

KINANA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA PAMOJA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI TANZANIA


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania. Mhe David Concar Februari 21, 2024 , katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe David Concar Februari 21, 2024 , katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Uganda Nchini Tanzania. Kanali Mstaafu Fredy Mwesigye, Februari 21, 2024 , katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Uganda Nchini Tanzania. Kanali Mstaafu Fredy Mwesigye, Februari 21, 2024 , katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.

No comments: