Saturday, February 17, 2024

MATUKIO MBALIMBALI KWENYE MAZISHI YA HAYATI EDWARD LOWASSA MONDULI MKOANI ARUSHA

 Matukio mbalimbali kwenye mazishi ya Hayati Edward Ngoyai Lowassa, Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024.
Mjane wa Marehemu Mama Regina Lowassa akisali mbele ya jeneza lenye mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa nyumbani kwake Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimfariji Mjane wa Marehemu Mama Regina Lowassa mara baada ya kuwasili katika eneo la mazishi, nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa, Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024.


No comments: