Wednesday, February 7, 2024

PICHA LATIFA ALIVYOVISHWA PETE YA UCHUMBA NA EMEBOGHENE VENICE, ITALY

Pete ya uchumba inavyoonekana kwenye mkono wa Latifa mara baada ya kukubali pete hiyo na kuvishwa na mchumba wake Emeboghenee mwezi December 2023 mji wa Venice nchini Italia
Emeboghene akifurahi baada ya kuona tabasamu la furaha kutoka kwa mchumba wake Latifa mara tu baada ya kumvisha pete ya uchumba.
Wachumba wakiwa wamejawa na furaha yele.
Chum, chum ikiendelea

No comments: