Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC Mussa Makame pamoja na Meneja Mkazi wa M&P Exploration Production Tanzania Limited Nicolas Engel wakisaini Mkataba wa uendeshaji wa pamoja wa Kitalu cha Mnazi bay kwenye hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma 03 Februari, 2024.
Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC Mussa Makame na Meneja Mkazi wa Maurel &P Exploration Production Tanzania Limited Nicolas Engel wakionesha Hati ya Mkataba wa uendeshaji wa pamoja wa Kitalu cha Mnazi bay kwenye hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma 03 Februari, 2024
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya kushuhudia utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya TPDC na Kampuni ya M&P kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma 03 Februari, 2024.
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya kushuhudia utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya TPDC na Kampuni ya M&P kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma 03 Februari, 2024
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya Maurel &Prom (M&P) iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma.
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Cleopa David Msuya akiwa kwenye hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya M&P iliyofanyika Ikulu Chamwino.
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Cleopa David Msuya akizungumza jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) Mhe. George Huruma Mkuchika wakati wa hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay
baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya M&P, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Februari, 2024.
Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kushuhudia Utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya TPDC na Kampuni ya M&P tarehe 03 Februari, 2024.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiteta jambo na Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson wakati wa hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya TPDC na Kampuni ya M&P tarehe 03 Februari, 2024.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko wakizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya, wakati wa hafla ya utiaji saini mkataba wa mauziano ya hisa za kampuni ya Wentworth na mkataba wa uendeshaji wa Kitalu cha Mnazibay kati ya TPDC na kampuni ya Maurel and Prom, Ikulu, Chamwino jijini Dodoma Februari 03, 2024.
No comments:
Post a Comment