RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Canada Nchini Tanzania Mhe. Kyle Nunas, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wa Jumuiya ya Mabunge ya Canada-Afrika, kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Jumuiya ya Mabunge ya Canada –Afrika, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Balozi wa Canada Nchini Tanzania Mhe.Kyle Nunas na Kiongozi wa Ujumbe huo Seneta Amina Gerba.
UJUMBE wa Jumuiya ya Mabunge ya Canada – Afrika wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ujumbe huo ukiongozwa na Balozi wa Canada Nchini Tanzania Mhe. Kyle Nunas na (kulia kwake) Kiongozi wa Ujumbe huo Seneta Mhe. Amina Gerba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum na Kiongozi wa Ujumbe wa Jumuiya ya Mabunge ya Canada-Afrika Seneta Amina Gerba na (kulia kwake) Mhe. Brenda Shanahan, baada ya kumaliza kwa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kubadilishana mawazo na Ujumbe wa Jumuiya ya Mabunge ya Canada –Afrika, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2024.
No comments:
Post a Comment