Tuesday, February 20, 2024

SILAA AKABIDHI MAGARI YENYE THAMANI YA BIL.2.7 MRADI WA UBORESHAJI MILKI ZA ARDHI NCHINI


Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa akiwasha gari kuashiria kuanza kwa matumizi ya gari mpya kwa ajili ya Mradi wa Uboreshaji Milki za Ardhi Nchini.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa akikata utepe kukabidhi magari mapya kwa aijili ya Mradi wa Uboresweshaji wa Milki za Ardhi Nchini.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa akikabidhi ufungua wa gari mpya Katibu Mkuu Anthony Sanga kama ishara ya kuanza kutumika kwa magari hayo kwenye Mradi wa Ubore sweshaji wa Milki za Ardhi Nchini.

No comments: