Advertisements

Monday, April 29, 2024

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU KUTOKA BUNGENI JIJINI DODOMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Śpika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 29, 2024
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Stagomena Tax, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Geita vijijini, Joseph Msukuma, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 29, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: