Advertisements

Friday, April 19, 2024

RAIS SAMIA AKUTANA NA MWENYEJI WAKE RAIS RECEP TAYYIP ERDOGAN WA UTURUKI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mwenyeji wake Rais wa Uturuki Mhe. Recep Tayyip Erdoğan kabla ya kuanza mazungumzo katika Ikulu ya Kulliye Ankara nchini Uturuki tarehe 18 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Uturuki Mhe. Recep Tayyip Erdoğan mara baada ya kukagua Gwaride la Heshima katika viwanja vya Ikulu ya Kulliye Ankara nchini Uturuki tarehe 18 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu ya Kulliye Ankara nchini Uturuki tarehe 18 Aprili, 2024. Kushoto ni Mwenyeji wake Rais wa Uturuki Mhe. Recep Tayyip Erdoğan.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa amesimama pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Uturuki Mhe. Recep Tayyip Erdogan wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ikulu ya Kulliye Ankara nchini Uturuki tarehe 18 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mwenyeji wake Rais wa Uturuki Mhe. Recep Tayyip Erdogan mara baada ya kuwasili katika lkulu ya Kulliye Ankara nchini Uturuki tarehe 18 Aprili, 2024.

No comments: