Advertisements

Wednesday, April 24, 2024

RAIS WA ZANZIBAR DKT. MWINYI AFUNGUA JENGO LA SKULI YA SEKONDARI YA KIWANI PEMBA


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na (kushoto) Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein wakiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Jengo la Skuli ya Sekondari Kiwani Wilaya ya Mkoani Pemba, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Viongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, wakisome maelezo ya Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Kiwani, baada ya kukamilika ujenzi wake, ikiwa shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tannganyika na Zanzibar,ufunguzi huo iliofanyika  23-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Skuli ya Sekondari Kiwani Wilaya ya Mkoani Pemba na (kushoto kwa Rais) Mke wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Mattar Zahor Masoud, wakati wa shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Muonekano wa Jengo Jipya la Skuli ya Sekondari Kiwani lililojengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na kufunguliwa leo 23-4-2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwanafunzi wa Kidatu cha Nne wa Skuli ya Sekondari Kiwani Abdulhalim Muhdar Hassan, wakati akitembelea moja ya Maabara ya Skuli hiyo, baada ya kuifungua leo 23-4-2024, ikiwa ni Shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na (kulia kwa Rais) Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Madarasa ya Skuli ya Sekondari Kiwani Wilaya ya Mkoani Pemba,baada ya kuifungua rasmin leo 23-4-2024, wakati wa Shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mwanafunzi wa Kidatu cha Kwanza wa Skuli ya Sekondari Kiwani Yussuf Iddi Bakari, wakati akitembelea moja ya Madarasa ya Skuli hiyo, baada ya kuifungua leo 23-4-2024, ikiwa ni Shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein na Katibu Mkuu wa Wizaha ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ndg.Khamis Abdalla Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Wanafunzi wa Kidatu cha Kwanza wa Skuli ya Sekondari Kiwani, akipata maelezo ya Kitaalamu kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ndg.Khamis Abdalla Said (hayupo pichani) baada ya kuifungua Skuli hiyo leo 23-4-2024, ikiwa ni Shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (kulia kwa Rais) Mwanafunzi Yussuf Iddi Bakari na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk,Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakizungumza na Mwanafunzi wa Kidatu cha Kwanza wa Skuli ya Sekondari Kiwani Yussuf Iddi Bakari, wakiwa katika moja ya madarasa ya Skuli hiyo baada ya kuifungua rasmin leo 23-4-2024, wakati wa Shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.




RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Kiwani Pemba Wilaya ya Mkoani, wakati wa shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ufunguzi huo uliyofanyika leo 23-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Kiwani Pemba Wilaya ya Mkoani, wakati wa shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ufunguzi huo uliyofanyika leo 23-4-2024
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa na Viongozi wa Serikali akifuatilia hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Kiwani Pemba, wakati wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika viwanja vya Skuli hiyo, baada ya kuifungua rasmin leo 23-4-2024.Ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

MWANANCHI wa Kijiji cha Kiwani Wilaya ya Mkoani Pemba Omar Talib Abdalla akifuatilia hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Kiwani Pemba wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika leo 23-4-2024, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
WANANCHI wa Wilaya ya Mkoani Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Kiwani, wakati wa shamrashamra za sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,ufunguzi huo uliofanyika vleo 23-4-2024
WANANCHI wa Wilaya ya Mkoani Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Kiwani, wakati wa shamrashamra za sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,ufunguzi huo uliofanyika vleo 23-4-2024
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum kutoka kwa Wanachi Kiwani Pemba,akikabidhiwa na Bi.Mrashi Haji Faki, baada ya kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Kiwani Wilaya ya Mkoani Pemba, iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa Shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

No comments: