Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Daniel Sillo akizungumza na Uongozi wa Juu wa Jeshi la Magereza wakati wa kikao cha ndani kilichofanyika Makao Makuu ya Jeshi la Magereza yaliyopo Msalato katika ziara ya kujitambulisha na kukagua shughuli mbalimbali zinazofanywa na jeshi hilo,ziara hiyo imefanyika leo jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Daniel Sillo akipokea salamu za heshima baada ya kuwasili Makao Makuu ya Jeshi la Magereza yaliyopo Msalato katika ziara ya kujitambulisha na kukagua shughuli mbalimbali zinazofanywa na jeshi hilo,ziara hiyo imefanyika leo jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Daniel Sillo akipokea salamu za heshima kutoka kwa Uongozi wa Juu wa Jeshi la Magereza baada ya kuwasili Makao Makuu ya jeshi hilo yaliyopo Msalato katika ziara ya kujitambulisha na kukagua shughuli mbalimbali zinazofanywa na jeshi hilo,ziara hiyo imefanyika leo jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Kamishna wa Jeshi la Magereza, Jeremia Katungu wakati akizungumza mbele ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Daniel Sillo wakati wa mkutano uliohusisha Uongozi wa juu wa jeshi hilo wakati wa ziara ya Naibu Waziri ya kujitambulisha na kukagua shughuli mbalimbali zinazofanywa na jeshi hilo.Ziara hiyo imefanyika leo jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Daniel Sillo(wanne kulia) akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa juu wa Jeshi la Magereza katika Makao Makuu ya jeshi hilo yaliyopo Msalato katika ziara hiyo ya kujitambulisha na kukagua shughuli mbalimbali zinazofanywa na jeshi hilo,ziara hiyo imefanyika leo jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
No comments:
Post a Comment