Advertisements

Wednesday, April 24, 2024

WATUMISHI WIZARA YA FEDHA WATAKIWA KUENDELEA KUZINGATIA SHERIA


Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El - Maamry Mwamba, akizungumza kuhusu watumishi kuendelea kufuata Sheria na Misingi ya Utawala Bora, wakati akifungua mkutano wa 37 wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha uliofanyika katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi.Jenifa Omolo akiwataka watumishi wa Wizara kutoa maoni yao yatakayosaidia katika kuboresha utendaji wakati wa mkutano wa 37 wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha uliofanyika katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam.
Meza kuu ikiongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Natu El Maamry Mwamba, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa mkutano wa 37 wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha uliofanyika katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Jenifa Omolo, Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Bw. Benjamin Magai na Naibu Katibu Mkuu TUGHE Taifa Bw. Regemalila Rutatina. Kutoka kushoto ni, Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi Wizara ya Fedha Bi. Scholastica Okudo, Katibu wa Baraza la Wafanyakazi Bw. Tumwesige Kazura, Mhasibu Mkuu wa Serikali Bw. Leonard Mkude
Baadhi ya Wajumbe wa mkutano wa 37 wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha, wakifuatilia mawasilisho mbalimbali wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Natu El Maamry Mwamba, na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi.Jenifa Omolo (kushoto), wakiteta jambo wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi na watumishi wa Wizara ya Fedha wakiimba kwa pamoja wimbo wa wafanyakazi wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam.

No comments: