Advertisements

Thursday, May 2, 2024

WAZIRI BASHE AOMBA TRILIONI 1.248 BAJETI YA KILIMO 2024/25



Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe, leo Mei 2, 2024 amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka wa fedha 2024/2025 ambapo ameliomba bunge liidhinishe shilingi trilioni 1.248.













No comments: