Advertisements

Tuesday, June 11, 2024

RAIS DKT. SAMIA APOKEA GAWIO NA MICHANGO KUTOKA KWA MASHIRIKA NA TAASISI ZA UMMA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa Hundi kama Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika mbalimbali na Taasisi za Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Juni, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi wa Serikali, Wakuu wa Mashirika na Taasisi za Umma pamoja na wageni mbalimbali mara baada ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika na Taasisi hizo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika na Taasisi za Umma, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Juni, 2024.Viongozi wa Serikali, Wakuu wa Mashirika na Taasisi za umma pamoja na Wageni mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika na Taasisi za Umma, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Juni, 2024.

No comments: