Wednesday, June 12, 2024

RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA KONGAMANO LA MIAKA 60 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR NA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja 11-6-2024.
WASHIRIKI wa Kongamano la Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakipiga makofi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo linalofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Unguja  11-6-2024.
BAADHI ya Viongozi wa Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano la Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,linalofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Unguja 11-6-2024
WATOA Mada katika Kongamano la Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo linalofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja 11-6-2024.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Yussuf Makamba, alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, kwa ajili ya ufunguzi wa Kongamano la Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lililofanyika 11-6-2024 katika ukumbi huo na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.(Picha na Ikulu)

No comments: