Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama ishara ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Maabara Kuu ya Kilimo, Mtumba Jijini Dodoma wakati wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane, tarehe 08 Agosti, 2024.
Jengo la Maabara kuu ya Kilimo
Jengo la Maabara kuu ya Kilimo
No comments:
Post a Comment