ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 7, 2024

RAIS SAMIA AWAHUTUBIA WANANCHI WA MJI WA IFAKARA, MLIMBA, MALINYI NA ULANGA MKOANI MOROGORO



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Ifakara, Ulanga, Mlimba na Malinyi kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa CCM Ifakara, Kilombero Mkoani Morogoro tarehe 05 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima wakati wa Mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa CCM Ifakara, Kilombero Mkoani Morogoro tarehe 05 Agosti, 2024.
Matukio mbalimbali wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika uwanja wa CCM Ifakara, Kilombero Mkoani Morogoro tarehe 05 Agosti, 2024.

No comments: