Saturday, September 21, 2024

RAIS DKT. HUSSEIN MWINYI AFUNGUA TAMASHA LA PILI LA FAHARI YA ZANZIBAR


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, kwa ajili ya ufunguzi wa Tamasha la Pili la “Fahari ya Zanzibar” lililofunguliwa leo 20-9-2024 katika viwanja hivyo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Kanda ya Pwani Benki ya CRDB Ndg.Idd Badru, akitembelea banda la maonesho la Benki ya CRDB, wakati wa ufunguzi wa Tamasha Pili la “Fahari ya Zanzibar” linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-9-2024, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Muendeshaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Ndg.Arafat Ally Haji,akitembelea banda la maonesho la Benki ya PBZ, wakati wa ufunguzi wa Tamasha Pili la “Fahari ya Zanzibar” linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-9-2024, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff na Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) Juma Burhani
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Maonesho ya Tamasha la Pili la “Fahari ya Zanzibar” alilolifungua leo 20-9-2024, katika viwanja vya Maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Mhe. Hamida Mussa Khamis na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Shariff Ali Shariff.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Simu Tigo Zantel Zanzibar Ndg.Azizi Said Ali, wakati akitembelea maonesho ya Tamasha la Pili la “Fahari ya Zanzibar” linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-9-2024, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Shariff Ali Sharii, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Mkurugenzi Mtendaji wa ZEEA Ndg. Juma Burhan
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiangalia bidhaa za Shirika la Taifa la Biashara Zanzibar (ZSTC) wakati alitembelea banda hilo, katika maonesho ya Tamasha la Pili la “Fahari ya Zanzibar” linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-9-2024, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Wilaya Magharibi “B” Unguja Mhe.Hamida Mussa Khamis
BAADHI ya Viongozi wa Taasisi za Serikali na Wananchi wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Tamasha la Pili la “Fahari ya Zanzibar” wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutuibia la kulifungua Tamasha hilo linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-9-2024

BAADHI ya Viongozi wa Taasisi za Serikali na Wananchi wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Tamasha la Pili la “Fahari ya Zanzibar” wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutuibia la kulifungua Tamasha hilo linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-9-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Tamasha la Pili la “Fahari ya Zanzibar” linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Wilaya ya Magaribi “B” Unguja leo 20-9-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Tamasha la Pili la “Fahari ya Zanzibar” linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Wilaya ya Magaribi “B” Unguja leo 20-9-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua mfumo wa usimamizi wa mikopo, mafunzo na masoko wa Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) , wakati wa hafla ya ufunguzi wa Tamasha la Pili la “Fahari ya Zanzibar” lililofunguliwa leo katika viwanja vya maonesho Dimani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-9-2024 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa (ZEEA) Ndh. Juma Burhan.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi mfano wa hundi kwa ajili ya Mikopo kwa Wajasiriamali wa Mikoa ya Unguja na Pemba (kushoto kwa Rais) wawakilishi wa vikundi hivyo vya Wajasiriamali wanufaika wa mpango wa INUKA unaoratibiwa na ZEEA pamoja na Benki ya CRDB, na (kulia kwa Rais) Meneja wa Kanda ya Pwani Benki ya CRDB Idd Badru,Meneja Muandamizi wa Biashara za Wateja Wadogo na wa Kati CRDB Ndg. Samson Keenja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff



No comments: