Tuesday, October 29, 2024

RAIS WA ZANZIBAR DKT. HUSSEIN MWINYI AZINDUA SOKO JIPYA LA JUMBI WILAYA YA MAGHARIBI "B" UNGUJA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na na Viongozi mbalimbali, alipowasili katika eneo la Soko la Jumbi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kwa ajili ya ufunguzi wa Soko hilo baada ya kukamilika ujenzi wake, , ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Soko Jipya la Jumbi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika jana 27-10-2024 na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, na (kushoto ) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ Mhe. Masoud Ali Mohammed, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kulifungua Soko Jipya la Jumbi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika jana 27-10-2024 na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ Mhe. Masoud Ali Mohammed, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
MUONEKANO wa Soko Jipya la Jumbi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akinunua bidhaa katika Soko la Jumbi Wilaya ya Magharibi “B”Unguja, kwa mfanyabiashara Jamila Hamad Said, baada ya kulifungua jana 27-10-2024,ikiwa ni Wiki maadhimisho ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mfanyabiashara wa Soko la Jumbi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.Sabrina Abdallah Ali,baada ya kulifungua jana 27-10-2024,ikiwa ni Wiki maadhimisho ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Soko la Jumbi Wilaya ya Magharibi “B”Unguja,baada ya kulifungua jana 27-10-2024,ikiwa ni Wiki maadhimisho ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.

KATIBU Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali na Mitaa na Idara Maalum za SMZ akizungumza na kuwasalimia Wananbchi wakati wa hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la Jumbi Wilaya ya Magharibi “ B” Unguja, baada ya kukamilika ujenzi wake, ikiwa ni Wiki maadhimisho ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana akizungumza na kuwasalimia Wananchi wakati wa hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la Jumbi Wilaya ya Magharibi “ B” Unguja, baada ya kukamilika ujenzi wake, ikiwa ni Wiki maadhimisho ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na Wananchi kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la Jumbi Wilaya ya Magharibi “ B” Unguja, baada ya kukamilika ujenzi wake, ikiwa ni Wiki maadhimisho ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Soko Jipya la Jumbi Wilaya ya Magharibi “ B” Unguja, baada ya kukamilika ujenzi wake, ikiwa ni Wiki maadhimisho ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
BAADHI ya Viongozi wa CCM na Wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la Jumbi Wilaya ya Magharibi”B” Unguja, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Soko hilo, ikiwa ni Wiki maadhimisho ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Soko Jipya la Jumbi Wilaya ya Magharibi “ B” Unguja, baada ya kukamilika ujenzi wake, ikiwa ni Wiki maadhimisho ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
BAADHI ya Wafanyakazi wa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na Wafanyabishara wa Soko la Jumbi wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la Jumbi, uliyofanyika jana 27-10-2024, ikiwa ni Wiki maadhimisho ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
BAADHI ya Wafanyabishara wa Soko la Jumbi na Wananchi wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Soko Jipya la Jumbi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Soko hilo uliyofanyika jana 27-10-2024, ikiwa ni Wiki maadhimisho ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
BAADHI ya Wafanyabishara wa Soko la Jumbi na Wananchi wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Soko Jipya la Jumbi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Soko hilo uliyofanyika jana 27-10-2024, ikiwa ni Wiki maadhimisho ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.

No comments: