ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, December 3, 2024

SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA JANGWANI YAFIKIWA NA TCAA

 


Afisa Mkuu udhibiti uchumi na Biashara kutoka Kitengo cha Uchumi TCAA Eufrasia Bille akitoa elimu kwa wanafunzi wa wanaosoma masomo ya Sayansi katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Jangwani ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Usafiri wa Anga duniani.
Afisa Mwanamizi Elimu na Uchemuzi kutoka TCAA- CCC Debora Mligo akitoa elimu kuhusu namna abiria anavyoweza kupata msaada pale anapopata changamoto anapotumia usafiri wa anga hapa nchini kwa wanafunzi wanaosoma masomo ya Sayansi katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Jangwani ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Usafiri wa Anga duniani.
Afisa Utawala Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Benjamin Mitinje Mayala akizungumza fursa zilizopo katika Usafiri wa anga pamoja na fani mbalimbali zinazotolewa na Chuo cha Usafiri wa Anga (CATC) 
Baadhi ya wanafunzi wanaosoma masomo ya Sayansi katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Jangwani wakifuatilia mada wakati wa elimu iliyokuwa inatolewa na Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) pamoja na Baraza  la Ushauri la Watumiaji wa huduma za Usafiri wa Anga (TCAA-CCC) Debora ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Usafiri wa Anga duniani.
Baadhi ya wanafunzi wanaosoma masomo ya Sayansi katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Jangwani wakiuliza mwaswali wakati wa elimu iliyokuwa inatolewa na Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) pamoja na Baraza  la Ushauri la Watumiaji wa huduma za Usafiri wa Anga (TCAA-CCC) Debora ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Usafiri wa Anga duniani.
Afisa Mkuu udhibiti uchumi na Biashara kutoka Kitengo cha Uchumi TCAA Eufrasia Bille akitoa zawadi kwa baadhi ya wanafunzi wa wanaosoma masomo ya Sayansi katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Jangwani ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Usafiri wa Anga duniani.
Picha ya pamoja

No comments: