ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, February 16, 2010

HATIMAYE MISS TANZANIA NA MPENZI WAKE WAPETA

Hatimaye Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Slaam mchana huu ,imewaachia kwa dhamana Miss Tanzania 2009/10 Miriam Gerald na mpenzi wake Kennedy Victor 'Kanny'. Kufanikiwa kwa dhamana hiyo kumetokana na harakati za Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania Hashim Lundenga ‘Anko’ pamoja na ndugu wa kijana Keny ambao tokea Ijumaa iliyopita walikuwa wakihaha mahakamani hapo kuwawekea dhamana

No comments: