Kutakuwa na Harambee ya kuchangia gharama za kumsafirisha mwili wa
mama Kibayasi kwenda Tanzania kwa Mazishi. Shughuli hii muhimu
itafanyika Jumamosi hii (2-20) pale STUB HALL, Luther Seminary St Paul
saa kumi jioni.(4pm). Tafadhali usikose. Hili ni janga letu wote.
Mtaarifu mwingine pia.
No comments:
Post a Comment