Mshambuliaji wa Arsenal Robin van Persie huenda akarejea kucheza mapema mwezi wa Aprili kwa mujibu wa kocha wa Uholanzi Bert van Marwijk.
The Gunners wanakadiria Robin atarejea uwanjani mwishoni mwa mwezi wa Aprili baada ya kufanyiwa upasuaji wa kiwiko cha mguu.
Lakini baada ya kuzungumza na Van Persie kwa njia ya simu, Van Marwijk sasa ana matumaini makubwa atapona haraka baada ya kujeruhiwa mwezi wa Novemba.
Van Persie alikuwa katika kiwango cha juu cha usakataji soka kwa klabu na nchi yake kabla hajaumia kiwiko cha mguu dakika ya 10 ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa baina ya Uholanzi na Italia tarehe 14

No comments:
Post a Comment