
Askari wa Jeshi la Wananchi la Tanzania(JWTZ) wanaounda kikundi cha TANZIBAT wakipanda ndege kwenye uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere,tayari katika safari ya kwenye kwenye ulinzi wa amani katika jimbo la DARFUR nchini Sudan.Jumla ya askari wapatao 600 hadi leo watakuwa wameishaondoka kuungana na wenzao katika jukumu la ulinzi ambapo wanajarajiwa kufanya kazi kwa kipindicha mwaka mmoja(picha na Alex Malima wa JWTZ).picha hii imetoka kwenye Gazeti HabariLeo feb 12 2010
No comments:
Post a Comment