Keki ya Birthday
Maua akiwa mwenye furaha kabisa
Wageni waalikwa kutoka kila kona walikuwepo
ndugu na marafiki wa Maua walikuwepo kumshadidia mwenzao
Birthday ya Maua na Bertha ilikusanya ndugu na marafiki na watoto kama inavyoonekana hapa
Berthday ya Maua na Bertha kweli ilikuwa ya Kimataifa
Wageni wakiandaa zawadi za Birthday
Jamani na mimi,ndivyo inavyoonekana kusema hawa rafiki wa Maua na Bertha
wanapo kutana na watoto,hua hapakaliki,Wakina Baba au Mama hua hawakai mbali na watoto wao,waweze kuwathibiti
Watoto wakua wenye faraha
No comments:
Post a Comment