ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 22, 2010

CHRISTAVINA & LAVORN'S WEDDING,DC



Picha za juu ni Christavina na Lavorn wakiwa wenye furaha 
Mama ya Bibi harusi aliyesafiri kutoka Musoma,Mara,Tanzania
Picha za juu ni wasimamizi wa harusi
Wapambe wa Bibi na Bwana harusi
Sunday Shomari alikuwepo kama Mc
picha za juu ni wageni walivyokua wamependeza
vijana ambao hawajaoa wakijaribu bahati yao
wageni kutoka sehemu mbali mbali wakisakata kabalee

No comments: