
Fernando Torres akiandikia Liverpool bao la kwanza

Javier Mascherano akimwangusha Antonio Valencia ndani ya kumi na nane na kusababisha penati iliyopelekea Man u kupata bao la kusawazisha

Wayne Rooney akifunga penati na kuisawazishia bao

Shabiki wa Man U akivaa skafu za rangi ya jezi zitakazo valiwa na Man U kwa mechi za ugenini
1 comment:
KAIBE HABARI YA GOLD MARA ,KUTOKA JIACHIE BLOG .SIMBA YANGA MAN UTD ZINATOSHA.
Post a Comment