Timu ya Taifa wanawake ya Tanzania,Twiga Stars wameweza kusonga mbele baada ya kutoka 1-1 na timu ya Taifa ya wanawake ya Ethiopia,mechi kali iliyochezwa leo kwenye wanja la Uhuru mjini Dar es Salaam,Tanzania hii ilikua ni mechi ya marudiano,mechi ya kwanza iliyochezewa Ethiopia Twiga Stars waliibanjua timu hio ya Ethiopia 3-1.pichani ni Esther Chabruma akiruka kihunzi cha mabeki wa Ethiopia.Picha kwa hisani ya Michuzi
No comments:
Post a Comment