ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 20, 2010

Mechi ya Yanga na Simba Dc,homa ya panda

kikosi cha Yanga
kikosi chaSimba
Mechi za Simba na Yanga hua ngumu na ubishi pichani ni Aris akigomea faulo waliyopewa Simba
mechi hizi hua na vituko kibao,pichani ni mzalendo mmoja haikuweza kujulikana ni mganga wa timu gani
Marefa wengi wamejaribu kuchezesha mechi hizi wameshindwa kumiliki mwenendo wa mchezo saingine kutokana na uzalendo kuwashinda,Pichani ni Refa pekee anayeweza kuchezesha hizi mechi  bila kutetereka
Ile mechi ya watani wa jadi itakayochezwa April 4 hapa Washington Dc kwenye wanja jipya la Kalmia liliopo 16st,Nw na Kalmia St,Nw.
kutambiana na wachezaji kujitenga,wachezaji wa Yanga kundi lao Simba nao ni hivyo hivyo.

Kocha wa Yanga Yasini Randi ameiambia Vijimambo kwamba najua Simba hawana uwezo wa kuifunga Yanga,wachezaji wangu wapo fiti wanaendelea vizuri na mazoezi tutakifanya kilekile cha bao 6-2 kipigo kitakatifu kilichoisambaratisha Simba.

Rashidi Mkakile(Bamchawi)  Yanga wanachonga sana kwa kubahatisha kaushindi njaa,sisi Simba ukipenda tuiite Lunyasi nakuhakikishia kaka Simba kiboko yao tunawapiga Yanga kipigo hawatakisahau maishani mwao,yule LukaKinyang'anyiro anajifanya Gulamali kurubuni wachezaji wa Simba safari hii kaka atazimia uwanjani namuonya mapema akae nyumbani asubiri matokeo.atarudi nyumbani na miguu,namuonea huruma sana kaka.

No comments: