ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 12, 2010

Ukiukwaji wa haki za binadamu Afrika


Marekani imekashifu mataifa kadhaa barani katika ripoti yake ya kila mwaka kuhusu rekodi ya ukiukwaji wa haki za kibinadam.
Maafisa wa ulinzi wa Nigeria, Kenya na Ethiopia wamelaumiwa kwa kutekeleza mauaji ya kiholela.
Marekani kwenye ripoti hiyo imeishutuma serikali ya jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kwa kutochukua hatua ya kuwalinda raia mashariki mwa nchi hiyo ambako waasi wanaendelea kupambana na jeshi laserikali.
Ripoti hiyo imesema nchi ya Somalia imeimarika. Inasema kwamba serikali ya mpito ya somalia imeonyesha nia ya kuendelea kuheshimu haki za kibinadam.

No comments: