ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 13, 2010


Image
Wananchi wa mji wa Orkesmet wilayani Simanjiro wakiwa katika maandamano ya kumpokea Mbunge wao Chiristopher ole Sendeka (mwenye shati la kitenge) mara baada ya Mbunge huyo kuwasili jimboni kwake baada kufutiwa mashitaka ya kumshambulia Mwenyekiti wa UV-CCM mkoa wa Arusha James Millya wiki iliyopita. (Picha na Paul Sarwatt)

No comments: