Hii ni sehemu tu ya GIRAFFE OCEAN VIEW HOTELyenye mandhari mwanana ndani ya Hotel ya Kitalii inayomilikiwa na Wazalendo wa Kitanzania inayopatikana kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi katika fukwe za Mbezi jijini Dar es salaam. Kama hujawahi kutembelea ni vyema ukafunga safari siku moja, wewe na familia yako au mpenzi wako na kupumzika nyakati za jioni huku ukipata upepo mwanana!
ni makazi ya starehe na kupumzika katikati ya bahari yaliyopo usoni mwa Giraffe
..kujua mchongo mzima kuhusu hoteli hii, nenda hapa: GIRAFFE HOTEL
No comments:
Post a Comment