ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 7, 2010

Hukumu ya kihistoria

MAHAKAMA ya Rufaa Tanzania leo itatoa uamuzi wa rufaa ya Serikali kupinga hukumu ya Mahakama Kuu Tanzania kuruhusu mgombea binafsi katika Uchaguzi Mkuu.

Jaji Mkuu, Augustino Ramadhani ataongoza jopo la majaji wenzake sita, kutoa uamuzi huo.

Uamuzi wa Mahakama ya Rufaa huenda utabadili historia ya siasa nchini, ikiwa itaruhusu mgombea binafsi katika uchaguzi wa Tanzania.kwa maelezo zaidi,Bofya Hapa

No comments: