MKUU Wilaya ya Morogoro, Said Mwambungu amevunja ndoa za wanafunzi wa kike kutoka katika Jamii ya wafugaji wa Kimasai, Tarafa ya Ngerengere, wanaosoma shule ya Sekondari.
Baba mzazi wa wasichana hao, Almasi Leboyi, aliwaozesha kwa siri kwa wanaume wawili tofauti wa Jamii hiyo na kujipatia mahari ya ng’ombe 24.
Mwambungu pia ameamuru mkazi huyo wa Ngerengere akamatwe na afikishwe katika vyombo vya sheria kwa kuwa alidanganya, akawahamisha wanafunzi hao na akawaozesha.
Wasichana hao, mmoja ametambuliwa kwa jina moja la Emelisa, baba yake mzazi alifariki dunia na kuachwa atunzwe na Leboyi.kwa habari zaidi,Bofya Hapa
No comments:
Post a Comment