Timu ya Newcastle United imerejea katika ligi kuu ya England.
Kocha wa Newcastle Chris Houghton amewapongeza wachezaji wake kwa "mafanikio makubwa" baada ya kurejea katika ligi hiyo ya juu.
Kurejea kwa Newcastle kumekuja baada ya wapinzani wao Nottingham Forest kushindwa kupata ushindi dhidi ya Cardiff na kutoka sare ya 0-0.
'Kuanzia siku ya kwanza, lengo letu lilikuwa kuweka nguvu zetu zote katika hili' amesema Hughton.
Newcastle United ilikaa katika ligi kuu kwa miaka 16 mfululizo kabla ya kushuka daraja mwaka jana.
No comments:
Post a Comment