YANGA NA SIMBA WAKIMBIA UWANJA MPYA
David Mwakalebela, Katibu Mkuu wa TFF
Mechi inayosubiriwa kwa hamu ya watani wa jadi, Simba na Yanga, inayotarajiwa kuchezwa Jumapili ijayo, itachezwa kwenye Uwanja wa Uhuru na siyo uwanja mpya baada ya klabu hizo kuamua kwa pamoja kuzikwepa gharama za kuchezea uwanja huo. hayo yaliwekwa wazi leo na Katibu Mkuu wa TFF, David Mwakalebele wakati akiongea na press ofisini kwake.
Wasemaji wa TFF Mwakalebela na Kaijage (kulia) wakiongea na media kuhusu uamuzi wa kuchezea uwanja wa Uhuru.
No comments:
Post a Comment