ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 28, 2010


Image
Wanafunzi wa shule ya Msingi wakicheza mchezo wa kuteleza katika eneo la ngazi za kupandia kwa miguu zilizopo Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam huku mvua ikinyesha jana. (Picha na Fadhili Akida)

No comments: