ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 24, 2015

LOWASSA APANDA DALADALA KWENDA GONGO LA MBOTO, DAR

Mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa Mh Edward Lowassa akiwa kwenye daladala kuangalia kero za wananchi maeneo ya Gongo la mboto kuelekea Chanika jijini Dar es Salaam leo.
Akiongea na wananchi.
Picha kwa hisani ya GPL

7 comments:

Anonymous said...

Baba wewe ndio mkombozi wetu japokuwa wameshaanza kutuita wapumbavu, malofa.!! Kweli kama Rais mstaafu tunayemtegemea kwa nasaha anathubutu kutamka vile hii ni udhaifu mkubwa ndani ya chama chetu. Haikubaliki. Wameanza wenyewebkutukana na wakati waliomba kampeni za busara. Acheni hasira huu sionwakati muafaka chama hii tunaibomoa wenyewe kwa midomo na mikono yetu!!?

Anonymous said...

Nyie mlie tu. Hii danganya toto ya kuonekana kama mnawajali wanyonge kwa kupanda daladala haitawasaidia chochote kwani maji yakimwagika hayazoleki. Watanzania wengi wana akili za kufahamu nani yuko nao na nani anawakejeli. Huyu mtu wenu alikuwa wapi wakati wote ule mpaka leo ndio anapanda dala dala na kutaka kutuonyesha kuwa anakula sahani moja na walalahoi! Au anafanya hivyo sasa baada ya kuona wingu lililotanda Jangwani jana, kitu ambacho alikuwa hatarajii kitatokea! Ama kweli mfa maji haishi kutapatapa.

Anonymous said...

Cheap politics!

Anonymous said...

Mtaka cha uvunguni hata kinyesi atalamba! .......Yeye ndo leo ndio anapanda daladala?! Classic Lowassa at his best!

Mwambieni Dr Magufuli mama yake alitembea kwa miguu kwenda kujifungua mtoto John Pombe Magufuli! Yani hata hela ya kupanda daladala hakuwa nayo!

Dr Magufuli amezaliwa kwenye dhiki za Tanzania, amekuli kwenye dhiki ya Tanzania, amesoma elimu yake mpaka PhD hapo hapo Tanzania kwasababu hakuwa na uwezo wala connection ya kwenda kusoma nje ya nchi kama Lowassa. Hivyo Dr Magufuli anaelewa umasikini na shida za Watanzania kuliko Lowassa kwani yeye mwenyewe alisha wahi kuwa masikini na bado baadhi ya ndugu zake pamoja marafiki zake bado ni masikini siyo kama huyo wa "chaukawa / chakawa / chang'ema / chaugenya / chagema / chaukiwa " sijui Chadema ambaye anafanya maigizo oops! Nimekumbuka kuiga / Sanaa ndiyo fani aliyosomea hahahh!......
#MagufuliNdiyoMpangoMzima , #HapaNiKaziTuu , #WanawakeTaifaKubwaMagufuliIkuluLazima
#UtaisomaNumberMwakaHuu
#DrMagufuliNdiyeMkomboziWetu
#MagufuliNiMzalendoHalisi
#ChaguaCCMChaguaDumeLaNg'ombe




Mwambieni Lowassa aache kutudhihaki siye wapanda dala dala!! #UnafikiMtupu #WiziMtupu #IkuluSiyoMovieTheater

Anonymous said...

Kweli Waswahili walisema "Kizuri/chema chajiuza, kibaya chajitembeza".

Anonymous said...

Duuuh. MATAPISHI YA CCM. Weee anonymous wa kwanza hiyo statement ni ya ukweli kabisaa tatizo watanzania hatujazoea kuambiwa ukweli. Nenda kasikilize hotuba au clips za bungeni za UKAWA wakimutukana na kumdhalilisha LOWASSA walimweka kwenye kundi la FISADI PAPA, WAKAWAITA MAJIZI. Kina Lissu hao hao eti wanakuja kwetu tena kusema LOWASSA waliyemdhalilisha na kumwita FISADI PAPA kuwa ni mkombozi wetu????? Watanzania tuna akili. I can't wait kuona mtamsafishaje huyu mtu. Je mtadelete hotuba zenu mlizorekodiwa na wananchi mkitembea nchi nzima kutangaza ufisadi wa LOWASSA??? I give KUDOS to LIPUMBA NA SLAA walioamua kusimama kwenye ukweli wote mliobaki ni the same story. If you can call me a thief today tomorrow you call me mkombozI??? sOMETHING IS TERRIBLY WRONG SOMEWHERE na hatutaki kufanya majaribio kwa hili. UKAWA MNGETAFUTA WATU WENGINE BUT NOT MATAPISHI YA CCM

Anonymous said...

“Makada wa ccm hasa wale wenye uelewa duni wanaendelea kupiga porojo juu ya Afya ya Mh Edward Lowasa, ni haki yao kutoa maoni ili taifa lipate rais bosa na mwenye afya bora.
Lakini kinachoshangaza nikuona watu hawa wanajipa jukumu la utabibu na kusimulia kile wakiitacho “ugonjwa” wa Lowasa,
Ukiwauliza Lowasa anaumwa nini? Hakika watakupa kila mtu jibu lake na ukimrudia tena mmoja mmoja kumuuliza atakwambia jibu tofauti na la awali, mara oooho Lowasa ana kisukari, mara ana kiharusi, mara ana kisend off nk, ilimradi tu waonekane wamesema.
Ukiwauliza tena vipi afya ya Magufuli? Majibu yao ni kama wapo ahera vile,
Hizi ndio siasa za kiswahili na waswahili wenyewe ndio sisi. Watanzania wengi huenda hawafahamu hili,
Dr John Pombe Magufuli ni mgonjwa wa Moyo tangu mwaka 2000, na mwaka 2014 alikwenda kufanyiwa upasuaji mkubwa nchini ujerumani mjini Born, hivi hapo alipo Magufuli anatumia moyo wa bandia, na ikitokea mjanja yoyote yule aka hark software ya hospitali ile pale borne basi Magufuli ata stuck na kufa,
Kila mwaka anatakiwa aende kuuchaji ambapo mwaka huu atakwenda 26/12/2015.
Hilo wanaccm kindakindaki hawalifahamu, lakini Jakaya,Othuman, Mkapa, Pia Lowasa, Mbowe, na Madaktari bingwa wa moyo pale MOI wanajua vema.
Masuala ya afya yakihojiwa sana kishabiki watu wawe tayari kupokea ukweli uliojificha!
Mimi sijui ugonjwa wa Lowasa wala yeye hajui ugonjwa wangu bali madaktari wetu ndio hujua. Lowasa ni mzima, hakuna hospitali nchini na dunia iliyotoa taarifa za ugonjwa wake na kuwa hastahili kuwa Rais wa Tanzania.”