ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 16, 2010

Dr. Migiro na Dr, Salim watembelea Ubalozi wa Tanzania,Washington,DC,kwa nyakati tofauti


Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Mhe. Asha Rose Migiro akipokelewa na maofisa wa Ubaloziwa Tanzania Washington DC Bibi Lily Munanka na Bw. Suleiman Saleh wakati alipotembelea ubalozi huo hivi karibuni.





Mhe. Dr. Salim Ahmed Salim Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokelewa Ubalozini Washington DC nana Afisa wa Ubalozi Bw. Suleiman Saleh alipowasili Ubalozini hapo. Kushoto ni Bw. John Mdoe, Msaidizi wa Dr. Salim.





Dr. Salim akisaini kitabu cha wagenei Ubalozi.





Mh.Dr Salim akiwa na Mhe.Balozi Ombeni Sefue.

No comments: