ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 23, 2010

Image
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme (Tanesco), William Mhando (kulia) akiingiza namba kwenye mita ya Luku kwa njia mpya baada ya kuzindua huduma ya kulipia luku kupitia Maxcom Pos (Maxmalipo), jana Dar es Salaam. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Maxcom Tanzania, Juma Rajab. (Picha na Fadhili Akida).

No comments: