ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 22, 2010

Image
Rais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton akisalimiana na baadhi ya maofisa wandamizi wa Idara ya Mahakama, waliokuwa Ikulu kushuhudia Rais Jakaya Kikwete (kushoto) jana akiapisha majaji wapya 10 aliowateua hivi karibuni. (Picha na Yusufu Badi)

No comments: